JE PESA NDO KILA KITU??
JE PESA NDO KILA KITU?? LOAN &HIS SISTER 2014 RUGWE BOYS SCHOOL Ndani ya Mawazo ya Leo tunaenda kujiuliza au kujadili au kuhoji topic hiyo ya juu, tuanze kwa kuulizana hivi, Kama ndio au hapana toa hoja, kama kuna namna nyingine hebu tuelezee. Naomba nikufahamishe kwanza vitu hivi vitatu vinavyoshikilia pilika pilika za hapa duniani ,migogoro inayotokea kila kona za dunia. Ukifuatilia kwa kina unakuta chanzo ni # Kupendwa (Upendo,mapenzi) kuna kesi na migogoro mingi inayo repotiwa una kuta ni mikasa ya kukosekana kwa upendo au wivu wa kimapenzi, watu wanafuta na kujishughulisha na shughuli mbalimbali zenye masilahi na zisizo na masilahi kwa kusudi la kutafuta kupendwa au kuonekana ni mzuri au maarufu. # Imani. Imani ni kitu cha kipekee sana ambacho kinaendesha maisha ya watu kwa lugha nyingine tunaweza sema hivyo, kwa nini lakini?? Katika kitabu cha Waebrania kinaonesha chanzo cha Imani ni nini, kwanza Imani ni kuwa na uhakika wa jambo kulipata,kulipokea au...