TAREHE YA KUZALIWA
Kila mtu ana tarehe ya kuzaliwa.
Kwa siku ya Leo ninayonayo nafasi ya kujivunia kuwa hata na namba yako ya simu, Umekuwa faraja sana kwangu kila nisomapo maandishi yako , ambayo huwa unayaandika kwenye Staftahi ya Ufahamu, Nakuombea kila upatapo nafasi usiache kuandika, maana jiko hilo limebeba majibu mengi ya vijana na wazee.
Ngumu kuelewa lakini haina budi kuielewa madamu umesikia, umeona, au umehisi.Aliyesahau alichojifun za na ambaye hakujifunza kabisa ,wote wapo sawa, au unataka ubishe na hili, haya bisha, basi na hili je ,Kilichobaki kichwani baada ya kusahau yote hicho ndo mali yako na hakuna wa kukupokonya zaidi ya manufacturer mwenyewe. Tunashuriwa sana kila baada ya mafunzo kuwa ,take action after take a learning yaani Chukua hatua ya kuweka kwenye matendo baada ya kujifunza, hata maandiko matakatifu yanasema Imani bila matendo imekufa, this is principle ,muulize king Chavalla naye atakwambia undani wake.
Historia yangu nzuri yenye mwelekeo wa matumaini ilianza nilipokata shauri la kuokoka, kuanza kumtafuta Mungu na kuishi maisha yenye tija, nilipohitimu form 4 na kwende form 5 na kisha kupata nafasi ya kuendelea na masomo ngazi ya juu ya kielimu, nilikuwa na shauku sana ya kukutana na watu wanaoitwa Light people mindset, kiujumla nafurahia series ya watu niliokuwa nakutana nao katika maeneo mbalimbali wakati nasoma, nilipata fursa nyingi za kuwa kiongozi katika makundi niliyokuwa najumuika nayo katika taasisi za kidini, kitendo cha kuwa kiongozi kilinisaidia sana kujishape na kujicontroll kwa mambo ya aibu na yasiyo ya msingi.
Kipindi nipo chuoni, licha ya mambo ya darasani nilikuwa napenda sana kuhudhuria seminar za mafundisho.
Nakumbuka kwa Mara ya kwanza nilipoenda Dodoma 2015 kwa ajili ya wa vijana, nilipofika nyumbani kwa pastor Raphael JL ambaye ni mwasisi wa youth kingdom ministeries YKM, ndio wakati nilipo anza kumfahamu na kumfuatilia mtu huyu ambaye Leo Tar 23 may ni siku yake ya kuzaliwa( king Chavalla), nilikuwa nimemsikia akifundisha redioni hata kabla sijamfahamu sana, ningeweza kukumbuka kipindi alichokuwa anafundisha, kwenye historia za matukio ya YKM ni mtu ambaye alikuwa anatoa vitu vya mafumbo vyenye maana ya kumuelimisha msikilizaji, mfano ...Hadithi ya mtoto na baba jikoni...
Mwanzo wangu wa mtazamo Mpya ulianza baada kupata mafundisho ya kipekee yaliyokuwa yakitolewa pale ,ndipo nilipoona umuhimu wa kuwa na watu wenye focus katika maisha.Ulikuwa mwanzo wa kutokupoteza muda uvyo kwenye vitu ambavyo havina hatma ya maisha yangu,
Fred Chavalla yawezekana unaweza kujiona kitu ulichokifanya kwa siku za nyuma ni kidogo sana la sivyo. Wewe umekuwa mtu wa kuingwa kwa mengi unayofanya yaani kwa mwonekano wako mwadamu anaweza kukuona tofauti sana, Nashukru Mungu namna alivyoweka hekima kubwa ndani yako. Hata ukifa Leo una kuna vitu haviwezi kufutika yaani maansiahi yako ya uelimishaji, mafunzo yako ya vichekeaho nk.
Nimeshuhudia watu wengi ambao ni maarufu, wazuri wa sura, wenye vipaji nk , jinsi wanavyovitumia vibaya kama ndo njia ya kulaghai mabinti au wanawake kwa kufanya zinaa na uasherati.Lakini wewe umekuwa wa kipekee kwa vile unalijua kusudi ipasavyo kuwa wew upo kwa ajili ya kazi gani.
Ni maombi yangu tupate wapi vijana wanaojitambua na wana hofu ya Mungu katika taifa letu la Tanzania

Comments
Post a Comment