DISCOVERING

Hata wewe unaweza

Kila mtu alipewa kipaji, je wewe unakijua cha kwako ni nini?
 Kipaji ni sehemu ya uwezo wa kufanya jambo fulani kwa ngazi ya juu. Kipaji kinaweza kuwa cha kimwili au cha kiakili.

Kipaji ni uwezo wa kuzaliwa nao wa kufanya kazi fulani lakini kinaweza kikandelezwa au kutoendelezwa.
Ni uwezo, ujuzi ulioendelezwa, maarifa au uhodari na mtazamo alionao mtu.
  Asili ya ndani ya kipaji ni kuonyesha ujuzi na mafanikio, ambayo huwakilisha maarifa au uwezo unaopatikana kupitia kujifunza.

SOLVING PEOPLE'S PROBLEM GROUP.


VISION

We want to be problem solver's of various challenges facing millions of youth in our society.
OR
We want to make ground of opportunities through solving people's problems for aim to end up unemployment and changing mindset towards deserved direction.

MISSION

Giving trainings, inspiring and nurturing their potentials through various means of social networking.
MOTTO
We desire to be the helper of now generation on reaching their best destiny's.

OBJECTIVES:
1.Kuvumbua,kukuza na kulea uwezo ulio ndani ya mtu ili kila alichopewa kifanyike kwa kusudi stahiki
2.Kumwandaa kila mmoja kimtazamo,mwenendo na kisaikolojia kukabiliana na hali mbalimbali zilizo na siri ya ugumu au changamoto
3.Kutoa mafunzo mahususi ya kumsaidia zaidi kufanikiwa katika eneo analotaka kubobea.
4.Kushirikishana mbinu sahihi za kufikia  hatima yako njema kulingana na eneo unalotaka kuja kuliishi na kuacha alama kwa hilo jambo.

 GENERAL STRATEGIES OF PRESENTING A PROGRAM.
1.Online trainings for aim of branding and reaching other people
2.Writing business plan, like Tree farms, Water wells constructions, Centres for training programs.
3.Coordinating with other people to support the program

ABILITIES, KNOWLEDGE AND STRENGTH'S.

Mimi ni
1.Trainer
2.Speaker
3. Consultant
4. Blogger
5.Creator
6.Analyst
7.Designer.


BAADHI YA MALENGO YETU.
Hizi hapa chini ni plan za kuanza ku implement kile ambacho tunakitarajia kukifanya kwa mbeleni. The process of taking an Action:
LONG PLAN
1.Kuwa na kiwanda......
2.Kuwa na training centre's ( Seminars room,Tuition buildings, Computer )
SHORT PLAN
3.Kufanya Self branding
4.Talent development
Haya ni maeneo muhimu ya kuyaangalia wakati unafanya kitu kinachoitwa Goal settings:- (Spiritual, Financial & Economic, Family &Marriage, Academic, Person development, Health, Leadership, Job goals)

Haya ni malengo ya group ambalo tutakuwa nalo mimi nitakuwa na jukumu la kuliendesha kwa kushirikiana na wewe, pia  kualika watu wengine kwa ajili ya kutoa mafunzo ya online whatapp,facebook;
MALENGO
1.Kuvumbua,kukuza na kulea uwezo ulio ndani ya mtu ili kila alichopewa kifanyike kwa kusudi stahiki
2.Kumwandaa kila mmoja kimtazamo,mwenendo na kisaikolojia kukabiliana na hali mbalimbali zilizo na siri ya ugumu au changamoto
3.Kutoa mafunzo mahususi ya kumsaidia zaidi kufanikiwa katika eneo analotaka kubobea.
4.Kushirikishana mbinu sahihi za kufikia  hatima yako njema kulingana na eneo unalotaka kuja kuliishi na kuacha alama kwa hilo jambo.

TARIBU NA SHERIA
1. Fuata ratiba na shiriki kikamilifu kwa kile tutakachopeana majukumu ya kufanya
2. Lazima ukubali kuumia sasa ili baadaye uje upate muda wa kumpunzika vizuri ukiwa unakula mafao ya ujana wako.
3. Lazima ukubali kujinyima baadhi ya vitu ulivyokuwa umevizoea, ili kukamilisha dhumuni mahususi.
4. Nidhamu,uaminifu na Hekima vitakuwa ni nguzo zetu sote, kila mtu aviishi ili kufikia malengo makubwa.
5.Kwa wiki tutaweza kufanya kitu kimoja na siku ya mwisho itaandaliwa video ya mafunzo yote kwa ujumla.


KARIBU SANA;
Kwa Maoni
Kwa Kuni-challenge
Phone: 0763983777

Pia unaweza nipata
1.YouTube:Loan Mwashilindi.

2.Website: https://mwashilindi.blogspot.com

3.Facebook:Loan P.Mwashilindi

Comments

Popular posts from this blog

KULIISHI KUSUDI LA KUUBWA.

UAMINIFU