NGUVU YA KUFKRI
NGUVU YA KUFKRI
https://www.youtube.com/watch?v=C1cwqzbrAIc&feature=youtu.be
Leo rafiki yangu hutaona wala kusoma nitakacho andika hapa
chini, naona unabisha , yaani haya maneno unayoyasoma ndo ya mwisho kuyaona.
Huo ni utani tu bwana ,Hebu twende kwenye somo letu la leo ambalo lipo kwenye channel yetu hii ya GROUND OF THOUGHTS & KNOWLEDGE.Lakini yawezekana hujui kwa nini hapa tunaita ground of thoughts and knowledge! ,ni kwamba wakati unafikiria mambo fulani fulani namna ya kuyafanya au kuyafanikisha kuna uwezekano ukiingia mahali hapa utaweza kupata ufumbuzi wa kitu unachokitaka au unakitafuta, pia unachostahili.Kila unachokiona nje kilianzia ndani.kwa maana hiyo inakupasa ujue yafuatayo kabla hutujaendelea sana
1. Nani amekufanya uwepo hadi muda huu??
2. Unataka uwe na maisha au halo ya baadaye kivipi??
3.Je napaswa kufanya nini kwa muda huu mchache nilionao??
4 Je hatima yangu itakuweje, nitakumbukwa kwa lipi???
Sasa tuangalia kwa nini ni muhimu kila mwanadamu ni vema awe na muda ya kufikri na kuendelea kujifunza zaidi au Kuongeza maarifa katika maeneo ya kusudi la kuwepo kwake. Kwanza unatakiwa ujui kuwa Mungu huwa anasema nasi pia kwa kupitia mawazo, kwa hiyo kila wazo au idea unayoipata usiipuuzie kiurahisi rahisi. Wakati upatapo kitu kimpya ndani ya ufahamu wako , hebu jaribu kukiandika kwenye karatasi au eneo lolote ambalo itakuwa rahisi kuona na kupitia kwa kusoma.
Mwenye maarifa na ujuzi ni Mali yake mwenyewe na anaweza kuitumia impasavyo na mwisho wa siku kuleta matokeo makubwa mno.
Nazungumzia mtu ambaye ana uwezo yupo mzima wa afya nzuri,lakini anaondoka nyumbani au unabaki hapo hapo ,masaa yanaenda hujiulizi ni kitu gani ninaweza kufanya kwa muda huu chenye manufaa kwa baadaye.
Najua hutakosa visingizio ,maana unavyo vingi sana tukivipanga vinaweza kuukaribia mlima mrefu barani Africa yaani Mlima Kilimanjaro, hebu jiulize unaposingia au kujidanganya au kujitumia vibaya,unafaidika na nini??. Umetumia masaa mangapi ya kutulia pekee yako na kutathumini maisha yako ya sasa na ya baadaye?? Kama hutaweza kujipa muda wa kujiuliza maswali mwenyewe na kujijibu, unaweza ukajiona kama huna lolote na unaweza ukaanza kufanya lolote na yeyote anaweza akakupata na akakutumia vyovyote, maana akili isiyojishughulia au iliyokosa kitu/kazi ya kufanya ni uwanja wa shetani.
Anza Leo kufanya kufanya vitu kwa malengo.Anza kujiuliza maswali madogo madogo kama haya ambayo watu huwa wanayaona ni madogo ,Ingawa wengi wao hawana majibu.
# Mimi nina uwezo gani
# Kwa nini nipo duniani
# Kitu gani napenda sana kukifanya toka moyoni
Hayo ni mfano tu. Unaweza ukaendelea kujiuliza mengi sana tu, lakini usisahau kujipa majibu wakati unaendelea kujifikirisha.

Comments
Post a Comment