UAMINIFU
*HATUA NDOGO NDOGO KUELEKEA MAFANIKIO* SOMO MUHIMU KWA WOTE WANAOTAKA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA Habari rafiki yangu mpendwa katika safari ya Maisha ya mafanikio, matumaini unaendelea vizuri kuhakikisha unafikia mafanikio makubwa katika Maisha. Mafanikio ni hitaji la kila mmoja anayeishi Hilo halina ubishi. Tatizo lipo hapa watu wengi wanahitaji mafanikio lakini hawakubali kulipa gharama sahihi ili kuyapata haya mafanikio namimi Kwa kuliona Hilo nimeamua kujipa jukumu la kuhakikisha nakupa wewe rafiki maarifa sahihi Ambayo yatakusaidia wewe uweze kufanikiwa. Ninachokuomba nikitu kimoja endelea kufuatana namimi katika mfululizo wa masomo haya kila ninapokaachini na kukuandikia wewe masomo haya wewe chukua mda wako kuweza kujifunza ya niliyo kuandalia nimuhimi sana kufanya hivyo ili kuweza kujifunza mambo mbambali Ambayo yatakusaidia Sana katika safari yako ya Maisha ya mafanikio. Baada ya utangulizi huu mfupi sasa twende moja Kwa moja katika somo la ambalo nimependa tujifinze pamoj...