Ready a book together with me-100% SUCCESS IN MARRIAGE
Waandishi wa Vitabu nchini Tanzania unakuwa kwa kasi sana
kwa sasa 2018 ukilinganisha na miaka ya nyuma, kila chuo kikuu cha kitanzania kuna waandishi wa vitabu wasiopungua watano.
Follow this link to see the video of this post.https://www.youtube.com/watch?v=BiQI6BtfVhA
QUIZ:
1. Write down who you think you are (dont think,just write)
Andika unafikiri wewe ni nani? _ (Usifikirie,andika tu)
2. Who do you admire most (would like to be them) _ni nani/kina nani unamkubali sana_(ungependa kuwa kama wao)
3. What attracts you to the who #2, why do you admire them _kipi kinakuvutia kwao?, Kwa nini unawakubali_
Tufanye zoezi hili kwa haraka na andika pia majibu yako kwenye daftari lako

Comments
Post a Comment