Mwl Hadson Ngata amefanya kitu cha tofauti leo.
FURSA.
Nakusalimu ndugu msomaji wa somo,
Karibu kwenye mfululizo wa somo hili la fursa.
Leo napenda nizungumzie vitu vifuatavyo.
1)FURSA IPO KWENYE MUDA.
2)FURSA IPO KWENYE NAFASI.
Hivyo ndio vitu nataka nivizungumzie leo.
tuanze hivi
1)fURSA IPO KWENYE MUDA.
NUKUU
"Muda ni kama maji ya mto, yakipita yamepita huwezi yagusa mara mbili maji hayo hayo"

Mafanikio yetu yamefungwa kwenye muda, hivyo ukiweza kuutumia muda wako vizuri, utakuwa umeweza kufichua fursa nyingi sana.
Mfano ukiwatazama vijana wengi mtaani, jinsi wanavyoutumia muda wao vibaya...
Ukikaa na kijana ambaye hajasoma yupo huko kijiji wengi wao utawaonea huruma maana muda wote analalamika kuwa yeye hajasoma,hajasomeshwa n.k lakini wakati huo huo katika muda aliokuwa nao anaweza kutafuta fursa ambazo zitamsaidia.
Wakati wa kuandaa shamba wewe ukienda kulala bila shaka wakati wa kupanda wewe ndio utaenda kuandaa shamba. Hapo ni kupishana na muda wa fursa.
Tumia muda wako vizuri, kila saa linalopita ujue limebeba fursa katika maisha yako. Ndio maana watu hawaishiwi kugundua vitu,kuanzisha biashara n.k
Hivyo utumie muda waki vizuri itakusaidia sana kugundua fursa nyingi sana.

"Hatuyatumii madini kwasababu yapo ardhini bali kwasababu yashachimbwa"

Yaani madini yanayotumika ni yale ambayo yamekwisha kuchimbwa tu. kuna sheria moja inaitwa kanuni ya usumaka katika pesa,,, iko hivi siku zote pesa zipo kwenye mzunguko, mtu atakayetaka kupata hizo pesa ni lazima kwanza akae kwenye nafasi ambayo mzunguko wa pesa unapita pili ni lazima awe na nguvu ya kuzivuta hizo pesa zilizoko kwenye mzunguko. Nilikuwa nasoma habari moja ya mgonjwa mmoja alikuwa yupo kwenye birika ili malaika anaposhuka akitibua yale maji mtu wa kwanza atakae ingia huyo atapona, lakini yeye hakuwa na mtu ambaye atakae msaidia kumuingiza kwenye birika hivyo ikamlazimu kuendelea kukaa pale pale mpaka msaada ulipotokea kwa YESU.
Sasa nikawa nawaza kwenye muktadha ya somo hili maana iko hivi FURSA siku zote huwa zipo lakini watakao zipata hizo fursa ni wale tu watakao kaa kwenye nafasi ya hizo fursa na kuwa na uwezo wa kuzikamata hizo fursa lakini kama sivyo mtu atabaki akiilaumu serikali, atajilaumu kwanini kasoma kozi ambayo haina pesa,kwanini hakusoma kabisa n.k
Lakini kumbe ilitakiwa yeye akae kwenye nafasi sahihi ambayo itamsaidia kuzikamata fursa.
Njia rahisi ya kukaa kwenye nafasi ambayo itakusaidia kuziona fursa ni
@KUACHA KULALAMIKA.
@KUACHA KULAUMU MTU/MFUMO
@KUACHA KUJIDHARAU.
@KUACHA KUDHARAU VITU.
@JITHAMINI,THAMINI MUDA WAKO,THAMINI KIPAJI CHAKO,THAMINI UDHAIFU ULIONAO.

AHSANTE.
Mwl. Hadson Ngata.
hadsonngata92@gmail.com
Mwl. Hadson Ngata.
hadsonngata92@gmail.com
Comments
Post a Comment