Posts

Showing posts from February, 2018

Life of Camps by Camila

Image
GOALS SETTING https://www.youtube.com/watch?v=7d7WDat4dAY&t=48s Goals  are important in the sense that they give you direction in life. It is better to have a simple, or not so important goal, than having no goals at all. Having goals is like having a map. You know where you are heading, and this gives you zest, motivation, more energy and a reason to get up in the morning. You become more alive. Do you have goals? I don’t mean wishes. A real goal is not a wish. It is something, into which you will put all your efforts and energy, so you can achieve it. A goal does not have to be something big. Not everyone wants to achieve big goals, on a major scale. Most people are satisfied with simple goals, and that’s okay. They want a comfortable, happy and healthy life, and this is possible and within reach. Setting a goal , does not necessarily mean striving for something colossus, simple goals are no less important than big ones. Only a certain percentage of the ...

Mwl Hadson Ngata amefanya kitu cha tofauti leo.

Image
             FURSA. Nakusalimu ndugu msomaji wa somo, Karibu kwenye mfululizo wa somo hili la fursa. Leo napenda nizungumzie vitu vifuatavyo. 1)FURSA IPO KWENYE MUDA. 2)FURSA IPO KWENYE NAFASI. Hivyo ndio vitu nataka nivizungumzie leo. tuanze hivi https://www.youtube.com/watch?v=jBHUzIjMkLk 1)fURSA IPO KWENYE MUDA. NUKUU "Muda ni kama maji ya mto, yakipita yamepita huwezi yagusa mara mbili maji hayo hayo" Mafanikio yetu yamefungwa kwenye muda, hivyo ukiweza kuutumia muda wako vizuri, utakuwa umeweza kufichua fursa nyingi sana. Mfano ukiwatazama vijana wengi mtaani, jinsi wanavyoutumia muda wao vibaya... Ukikaa na kijana ambaye hajasoma yupo huko kijiji wengi wao utawaonea huruma maana muda wote analalamika kuwa yeye hajasoma,hajasomeshwa n.k lakini wakati huo huo katika muda aliokuwa nao anaweza kutafuta fursa ambazo zitamsaidia. Wakati wa kuandaa shamba wewe ukienda kulala bila shaka wakati wa kupanda wewe ndio ...

University Christian student,waingia kwa kishindo ukumbini.

Image
Hii ni link ya kuingilia Youtube ambayo inaonesha mojawapo ya video niliyotengeneza siku ya mahafali ya USCF au UKWATA chuoni Mwenge-Moshi. https://www.youtube.com/watch?v=MWSmEry5Mu0 “But rise and stand on your feet; for I have appeared to you for this purpose, to make you a minister and a witness both of the things which you have seen and of the things which I will yet reveal to you. I will deliver you from the Jewish people, as well as from the Gentiles, to whom I now send you, to open their eyes, in order to turn them from darkness to light, and from the power of Satan to God, that they may receive forgiveness of sins and an inheritance among those who are sanctified by faith in me.”

Writting Business plan

Image
writing business plan 12 LAWS FOR WRITING A BUSINESS PLAN  1. A business plan is a marketing action. A well-thought-out and presented business plan demonstrates to yourself and others that you are serious about your business idea, you  have  the  passion  and  persistence  to  develop  the  strategies  and  tactics  so  your business  idea  will  be  successful,  and  you  have  converted  a  general  idea  into  a realistic and believable business. 2.  Know  your  audience,  and  write  the  plan  in  a  style  and  with  information  they need for the action(s) you want them to take . To achieve the decisions and actions you wish taken, you must provide your readers with the information in a style they are familiar  with  and  can  und...

Kitabu cha Nguvu ya Kuzaliwa(Intro..)

Image
Nguvu ya Kuzaliwa MAMBO YA MSINGI YA KUZINGATIA UNAPOFANYA MAAMUZI  . 1. Hakikisha una ufahamu wa kutosha na uliosahihi wa jambo unalotaka kulifanyia maamuzi, eg, kama unataka kufanya biashara au unataka kuwekeza fanya utafiti wa kutosha, uliza taarifa na upate habari zitakazoweza kukusaidia kufanya maamuzi hayo, usikurupuke kuamua kwa haraka ingawa yapo maamuzi ya kuamua kwa haraka kutegemeana na mazingira na wakati 2. Unahitaji hekima ya kukuongoza kufanya maamuzi hayo na namna ya kuyasema au kuyawasilisha, unaweza ukawa na maamuzi mazuri kabisa lakini ukishindwa kujua the how au namna ya kuyafanya au kuyasema au kuyachukulia hatua utafanya vibaya-1 Falme 12:1-7,12-18 3. Maamuzi mazuri yanahitaji muda wa kujipanga eg Rehoboam alihitaji siku 3, hii inakupa fursa ya kujiridhisha juu maamuzi hayo ikiwa ni pamoja na kutafuta ushauri na kuyaombea maamuzi hayo, 4. Ipo nafasi ya maombi kwa maamuzi yaliyo na matokeo mazuri, maombi kwa Mungu,muombe Mungu ili akusaidie kuyathibitis...