KULIISHI KUSUDI LA KUUMBWA KWAKO UTANGULIZI. Shalom, Naitwa Shemeji Melayeki,Ninaishi Arusha Mjini. Nimeoa. Nina mke mmoja (mwanamke) aitwaye Neema na kubarikiwa kupata mtoto mmoja aitwaye David. Ni mwandishi wa vitabu hadi Sasa ni sita kwa idadi 1.Principles of Growth, 2.Principles for Greatness, 3.The power of Vision, 4.The power of taking the first step 5.The power of Reading Books na 6.Nguzo za Siku Msingi wa Kwanza, Pia nafanya makongamano mbali kwa kuandaa na kualikwa. Ninafanya kazi huduma ya Global Family Gatherings Ministries kama Apostle kwa sasa nasimamia kanisa la Arena of Greatness Arusha. Kuhusu kufundisha juu ya Kusudi nimeanza 2012 kwenye makongamano/semina mbalimbali na baadaye kuanzisha *Online Discovery Seminars* nikifundisha Somo hili kwa undani zaidi. *Ikibidi nitawaomba Discovery Team wanisaidie baadhi ya vipengele* Ninaona Somo hili ni Somo Muhimu hasa baada ya Mtu kumpokea Yesu ni vyema akafahamu kwa nini yuko duniani.. Uzoefu wangu una...
Comments
Post a Comment