Posts

Featured Post

UAMINIFU

*HATUA NDOGO NDOGO KUELEKEA MAFANIKIO* SOMO MUHIMU KWA WOTE WANAOTAKA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA Habari rafiki yangu mpendwa katika safari ya Maisha ya mafanikio, matumaini unaendelea vizuri kuhakikisha unafikia mafanikio makubwa katika Maisha. Mafanikio ni hitaji la kila mmoja anayeishi Hilo halina ubishi. Tatizo lipo hapa watu wengi wanahitaji mafanikio lakini hawakubali kulipa gharama sahihi ili kuyapata haya mafanikio namimi Kwa kuliona Hilo nimeamua kujipa jukumu la kuhakikisha nakupa wewe rafiki maarifa sahihi Ambayo yatakusaidia wewe uweze kufanikiwa. Ninachokuomba nikitu kimoja endelea kufuatana namimi katika mfululizo wa masomo haya kila ninapokaachini na kukuandikia wewe masomo haya wewe chukua mda wako kuweza kujifunza ya niliyo kuandalia nimuhimi sana kufanya hivyo ili kuweza kujifunza mambo mbambali Ambayo yatakusaidia Sana katika safari yako ya Maisha ya mafanikio. Baada ya utangulizi huu mfupi sasa twende moja Kwa moja katika somo la ambalo nimependa tujifinze pamoj...

Boyzmen Talks by Raphael JL.

Image
  TUTAFJIFUNZA KWA UJUMLA NAFASI YA MWANAUME   kwa muda wote tutakuwa tunaangalia nafaso ya mwanaume katika jamii pana kama biblia inavyoonesha Somo hili litatupa nafas ya kujitafakari na kuangalia namna ambavyo mungu amempa mwanaume nafasi ya ajabu sana katika jamii Kutokujua nafasi yako haimaanishi nafasi yako haipo. Utakuwa huru kuuliza na kuchangia pia LEO NINAOMBA TU NITOE TAKWIMU ZA MSINGI KIDOGO KUHUSU WANAUME   takwimu hizi zitatusaidia mbele ya safari   ni vema tu kujua mambo mawili makubwa kuhusu takwimu za wadada na wakaka ili usikae unashangaaa Ø   Idadi ya wakaka na wadada hazitakuja kukaa zikalingana Ø   Farao aliua wakiume wengi sana Ø   Herode aliua wakiume wengi sana Ø   Takwimu zinaonyesha watoto wa kiume chini ya umri wa miaka mitano wanakufa sana kuliko wadada Ø     cha ajabu ni kwamba, ni rahisi sana kwa mwanaume kuwa na wake zaidi ya mmoja na sio kinyume chake.   ...