Vijana 3 wanafunzi walioimba kama Emmanuel Mgogo wapo uwanjani Leo.
Vijana 3 wanafunzi walioimba kama Emmanuel Mgogo wapo uwanjani Leo. Emmanuel mgogo ni kati ya waimbaji wa nyimbo za injili Tanzania anayefanya vizuri sana. Sasa imefika mahali kuna vijana wengi sana ambao wa ndoto za kuwafikia watu Injili kwa kupitia uimbaji, baadhi ya vijana hao unaweza kuwaona kwa link hii. Click